Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi.
Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.