Recent content by purplecoolays

  1. P

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    Ilan, huyo huyo alosoma degree ya mazingaombwe tunaemtaka maana ujasiri, uchapakazi,maamuzi,na uzalendo wake niwakimazingaombwe kiukweli alitakiwa achukue masters kabisa ya mazingaombwe maana nizaidi ya faida kwa Tanzania! Lowassa ni mtiifu hilo haliitaji compliment wala shout out coz ni sifa...
  2. P

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Abdalah Hassan..Wew ndo mkazi wa arusha mwenye mashaka na Lowassa, Trust me mamia ya wakazi wa Arusha tunasubili lini atatangaza nia tutandike majani barabarani kwa furaha! Lowassa Mbele kwa Mbele
  3. P

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Hakuna mwanasiasa Bora, Hakuna mtakatifu, Hayo uliyoyaandika ni machache mabaya yake ukilinganisha na mazur nengii aliyofanya ambayo kwa hayo ENL anafaa kua Rais
  4. P

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Hakuna mwana siasa Bora kuliko mwenzake, Hakuna mtakatifu, wote wana Side B ambazo ukiskiliza basi humuoni nan wakumpa uongozi! Hayo ni machache tuu ya ovyo uliyoyaona amefanya ENL..lakini natambua fika kwamba unayajua mengii sana Mazuri aliyoyafanya, na kwa hayo anafaa Kua RAIS!
Back
Top Bottom