Recent content by Pure Scientific

  1. Pure Scientific

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mzee hawa hata sijui wanajua mambo ya web na app
  2. Pure Scientific

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tulishafunga huu mjadala inaonekana nyie new comer
  3. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Mke nimelipa mahari sijafunga ndoa
  4. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Asante kwa ushauri. Hatujafika 30
  5. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Ana historia ya kutembea na wanaume watano kabla ya mimi nadhani comparison inamsumbua .
  6. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Asante sana Nifah... Ushauri wako nitaufanyia kazi nataka nikatoe kitanzi. Maana hata mie sienjoy mapenzi hawajakata nyuzi zile vizuri hivyo nikifanya mapenzi namuumiza hasa rough sex. Zamani tulikuwa tunafanya vizuri tu.
  7. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Siwezi kufanya mapenzi kinyume na maumbile maisha yangu yote
  8. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Nataka nijaribu. Kuondoa maana alikuwa sawa mwanzoni
  9. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Ninae kamchepuko naenjoi sana mapenzi nae.
  10. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Ni sahihi maana vitu vingi hawezi anagoma kunifanyia wakati mimi nikiwa nje nafanyiwa. Too selfish kwenye sex kila kitu nitafanya mie yeye kama gogo
  11. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Amenigomea ndo nataka nifanye hivyo
  12. Pure Scientific

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Yah ,migogoro ipo na tunagombana muda wote inafikia muda namtishia kumuacha
Back
Top Bottom