Recent content by PuraVida_Fire

  1. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Undugu wetu mkuu, sio kwamba naogopa hilo libaba wala
  2. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Ndio maana nataka niongee naye live na sio kwa simu, nina hakika hata akijafanya kukataa ila nitamsoma tu usoni wakati kuongea
  3. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Najua atanikumbuka tu huyo baba, nina uhakika mkuu sio lazima niwe Mungu wala huyu mdogo wangu sitapiga simu wala nini, atakuja tu hata hii weekend, najipanga kumpa maneno yake hata ikibidi kupiga kwanza mvinyo kabla sijakabiliana naye. Atajuta yaani
  4. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Nilikuwa nawazia hivyo mkuu, ila naona ntashindwa. Wacha nitaongea naye tu huku nikijifanya nina uhakika kabisa. Liwalo na liwe
  5. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Nashukuru mkuu, ni ngumu ila wacha nijitahidi nifanye
  6. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Duh, asante lakini
  7. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Hilo li baba silipendi tena mkuu, kabisaa
  8. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Hili ndio nafikiria kwa sasa Mkuu, ni baada ya mawazo ya watu humu, maaan la kumkamata naona gumu. Asante
  9. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Ni mdogo wangu huyo
  10. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Nashukuru, ila japo hapo pa kusema “najua unatembea naye” ndio nilitaka kumkamata na vizibitisho vizuri, maana najua hawezi kubali hivi hivi na anajua anachofanya sio sawa so hawezi kukubali yaani. Ningemkamata hapo sasa ndio nafata huo ushauri wako sasa wa kumwambia tukapime ...... Asante
  11. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Asante mkuu, ukweli mchungu. Wacha arudi tu home
  12. PuraVida_Fire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

    Mkaasa wangu anaujua vizuri kuhusu hilo li baba, labda hapo kwa kumwambia nilionaga msg zao, ila akirudi tu weekend ntafanya jinsi. Asante
Back
Top Bottom