Hakuna msanii yoyote aliyerudi Clouds, kwa taarifa yako kwa sasa hivi mainstream media si issue sana kama ilivyo social media( kwa influence) na digital platforms(kwa kipato), Harmo yuko E-Tv na EFM Radio na Vanny boy haja-base kokote kwani Clouds anafanya nao kwa contract na Wasafi pia anafanya...
Ruge concentration yake ilikuwa ni wasanii wa THD, use your brain kid. Je hao wasanii aliowapa nguvu zake zote(here I mean THT artists) leo wako wapi na Diamond yuko wapi.
Alitumia nguvu nyingi kumpoteza kwenye game na Clouds wakaacha kupiga nyimbo zake na pia aka-influence mainstream media...
Yako mengi wanayoongelea na huyo Mwendakuzimu ni one of the topic, hakuna mwenye kinga dhidi ya kuongelewa. Muovu ataongelewa kwa maovu yake na mwema ataongelewa kwa mema yake, this includes Mwendakuzimu.
Si hilo peke yake bali hilo ni moja kati ya circumstantial evidences zinazomuangukia Mwendakuzimu.
-Kuzuia party members kwenda kumuona hospitali.
-Kuzuia watu kumuombea.
-Katazo la uvaaji wa T-shirts za 'Get well soon Lissu'.
-Kutokuwepo walinzi(polisi na G4 security guards) katika eneo...
Acha kujitoa ufahamu kwa kutetea upumbavu, kiwango cha akili zako ni zero kabisa.
Those stupid killers(wasiojulikana) wanamlinda nani zaidi ya wale wanaowaamrisha na kuwaelekeza watu wa kuwaua, kuwateka, kuwatesa au kuwapora mali. They're nothing but stupid brainless murderers.
Nilichofurahi ni Tundu Lissu kulieleza kwa wazi hili jambo manake Sukuma gang walikuwa wakijifanya spin-masters eti ni mivutano ya wao kwa wao kugombea madaraka, wale watetezi wa Jiwe hebu mfungulieni Lissu mashtaka kwa kumzushia mungu-mtu wenu.
Legacy legacy legacy legacy................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.