Recent content by pumbuka

  1. P

    Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    Kaka siyo vizuri hivyo Mungu anakuona kumbuka hujui hata dk 1 ya mbele kitu gani kita
  2. P

    Wazo; TRA marathon,jukwaa rafiki la kuwakutanisha tra na walipa kodi!!!

    Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
  3. P

    Taratibu wilaya ya Ngara imeanza kuwa mzalishaji mkubwa wa wasaidizi wa kazi za ndani, wachunga mifugo nk

    Umasikini nimekutana na mtoto ni mdogo ana miaka 14 anaulizia kwa mjumbe wa nyumba kumi nikamuuliza shida nn akasema anamshitaki boss wake ajamlipa mshahara wake wa sh 20000 nikamuuliza
  4. P

    Taratibu wilaya ya Ngara imeanza kuwa mzalishaji mkubwa wa wasaidizi wa kazi za ndani, wachunga mifugo nk

    At least watoto waende shule sasa na wameliza binafsi sijafika hii wilaya ila nahisi drop out rate itakuwa ni kubwa sana,
  5. P

    Taratibu wilaya ya Ngara imeanza kuwa mzalishaji mkubwa wa wasaidizi wa kazi za ndani, wachunga mifugo nk

    Kwa kweli Ngara uwa napita tu sijawahi kukaa hata kwa siku moja ila nahisi kutakuwa kuna hali mbay
  6. P

    Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Dah kama ni mwanamume lazima utakuwa na shape kama ya mwijaku,lazima element za ugasho uwe nazo
  7. P

    Taratibu wilaya ya Ngara imeanza kuwa mzalishaji mkubwa wa wasaidizi wa kazi za ndani, wachunga mifugo nk

    Watoto ambao umri wa kwenda shule kutoka wilaya ya Ngara wamejazana kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini haswa ya kanda ya ziwa, wengi wao ukiongea nao wanakwambia hawajamaliza hata darasa la saba, na waliomaliza hawajaendelea. Serikali ya wilaya ya Ngara angalieni hili, mpunguze mnyororo wa...
  8. P

    TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Watu wanatabia za kingese sana na uchokonozi mwingi. Huyu jamaa nimesoma nae chuo na nimekaa nae room moja kwa miaka 2,ili jina la big Jambazi tumeanza kumwita toka 2009 hajaingia hata uwo upolisi sema alivyoingia polisi akaendelea na aka yake. Huyu jamaa alikuwa na utu na ni mtu mwema sana...
Back
Top Bottom