JamiiForums Tanzania
Dogo noma!
Dogo alipanda basi akakaa karibu na dereva.Akaanza kupayuka'baba angekuwa dume na mama jike la ng'ombe ningekuwa kadume kadogo.Dereva akaanza kukerwa na kelele zake.Akaendelea,''baba angekuwa tembo na mama jike la tembo ningekuwa katembo kadogo.''Akaendelea kutaja wanyama kibao.Dereva kwa hasira...