Recent content by PSPA Pundit

  1. PSPA Pundit

    Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  2. PSPA Pundit

    Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

    Mjomba, Kwanza acha habari za kuona kuna mtu au kitu kimezuia wewe usitoboe, Jiangalie mwenyewe kwanza. Ukianza kuangalia visababishi vya nje hutaviona visababishi vyako mwenyewe. 2. Jikubali usijilinganishe au kujifananisha na mtu, usitamani kuwa kama fulani, kuishi kama fulani bila kutamani...
  3. PSPA Pundit

    CCM, kama hamtaki tumsifie "Mama" yenu ambaye ndiye Rais kuhusu utekaji, ubakaji na mauaji, basi tuonesheni mtu mwingine wa kumsifia kuhusu hayo

    CCM mnasahau kuwa huyu ndiye Rais wa Tanzania. Hata kama mtamuita Mama yenu au Mama wa Taifa, majukumu yake kama Mkuu wa Nchi hayabadiliki. Jinsia yake haibadilishi ukweli kwamba yeye ndiye msimamizi mkuu wa Taifa. Lolote baya linalotokea ndani ya nchi hii, wananchi wote tunao wajibu na haki ya...
  4. PSPA Pundit

    Kiongozi anasema wazi "Watumishi wa umma wanavujisha siri wakijua wanamkomoa"

    Kuna watu wameanza kuhoji elimu ya huyu kiongozi,na hii imeanza kunifikirisha. Najikuta siohoji tu elimu yake bali hata uelewa wake kama mwanasiasa na kama mtu ambaye amekuwa kwenye utumishi wa umma muda mrefu. Ukitazama na kusikiliza namna anavyozungumzia maswala mazito ambayo bado ni mabichi...
Back
Top Bottom