Recent content by pSmAthew

  1. P

    JamiiForums Tanzania Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    Hizi taasisi kuna vitengo vya mahusiano pamoja na IT ndo Huwa wanadesign vitu hivo na haina mahusiano na madai ya watu maana nina uzoefu na hivo vitu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya majina katika vyeti

    Msaada tutani wadau mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti msaada maana jina la vyeti vingine ni PASCHAL lakini cheti kimoja ni PASCAL je inamadhara katika maombi ya ajira , mikopo nk ?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

    Mtaani kugumu kaka ndo kwanza tumetoka veta tunashindwa tuanze vipi msaada wa kimawazo nahitaji tafadhari
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

    Sawa kaka ntapeleka vyeti vyangu nashukuru
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya shower rose(bomba la mvua)

    Asante
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

    Napenda kuomba kazi ya plumbing ya kujitolea katika taasisi yoyote elimu yangu ni # Kidato cha nne # Veta plumbing Level 2 Contact 0765558812 Napatikana Dar es Salaam Na Tabora
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya shower rose(bomba la mvua)

    Mafundi naombeni msaada wa kujua bei ya bomba la mvua la kuogea tafadhali.
Back
Top Bottom