Kwanza ndiyo nimepata nafasi ya kuiona Video ya Idris..Atashinda mapema sana kesi..
Maana amecheka na hakusema neno lolote..
Wana CCM wanasema kwamba kamcheka Rais..
Ila yeye amecheka kwa furaha kumuona Rais wake.
Ila hata Mimi baada ya kuiona picha nimecheka .
Naishangaa tafsiri ya Wapambe...
Huyu bwege Leo anaililia CCM anasema ananyanyasika ..sababu ni karantini ya wiki mbili tena kwa sababu za msingi kabisa.
Hapa kahukumiwa miezi 6 kaona ni sawa..tena Jela si Nyumbani..kwa kesi za kijinga zisizo na kichwa wala Miguu.
Wakuu kwanza kabisa Salam..
Ni hivi ..
Dawa ya Covid 19 ikitokea imepatikana Muda wowote kuanzia sasa ,Kutokana na Mahitaji ya Dunia nzima Tanzania tutapewa ya kutosha watu 480 ..Je tutapokea ?
Duh! Wabongo kweli shida..
Hata Raia wanaotoka Nje inabidi kukaa ndani kwa siku zisizo pungua 14 baada ya hapo kama ni Wazima wanarudi Mtaani huku kwenye Covid 19 ambapo idadi bado ni 480..
Wabunge Waliamua kujitenga baada ya kupoteza wenzao watatu ndani ya mwezi mmoja..
Kujitenga ilikua ni...
Kuna Kiumbe kinakula Bata Chato hivi sasa ..
Mishahara hewa!!! Mwambe ni moja ya Mfano..Ni Mbunge hewa na bado anachukua Mshahara.
Magu anagawa pesa mabarabarani..
Bora hao wanaagiza Magari..Magu anatuma ndege Madagascar kuchukua chupa mbili za juice.. Kwa familia yake ..
Waliowadhulumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.