Recent content by Prospogi

  1. Prospogi

    Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

    Unaweza kumcheki huyu 0716921500, ana ofisi Bunju, nilikodi kwake wakati naweka slab huko huko Goba. Mwingine ni 0659281318, huyu yupo mwisho wa lami kama unakwenda Bonyokwa ukitokea Kituo cha daladala cha Segerea.
  2. Prospogi

    SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
Back
Top Bottom