Recent content by prosper ferdinand mushi

  1. prosper ferdinand mushi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    hapo umesema neno ndo wabongo walivyo
  2. prosper ferdinand mushi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    ndo kawaida ya bongo mtu hapendi kujiongeza anatizama kile ufanyacho kisha yye anaenda kufanya kiukweli ukitaka mafanikio lazima uwe mbunifu kabisa mfano hii niliyobuni sijaona ni dizaini tu ya ubunifu na ukiamua kufanya hii biashara ukubali kujifunza usijione wwe unajua zaidi na kama wwe ndo...
  3. prosper ferdinand mushi

    JamiiForums Tanzania Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    JINSI YA KUANDAA BANANA SHEK MILK MHITAJI NDIZI MBIVU 2 MAZIWA FRESH YALIYOCHEMSHWA NA KUPOA 2 CUP ASALI KAMA UKIPENDA ILA MMI NIMETIA ASALI 2 TSP JINSI YA KUANDAA MENYA NDIZI NA TIA KTK BRENDA NA ONGEZA MAZIWA NA ASALI KISHA SAGA PAMOJA NA TAYARI KWA KUNYWA SAFIII KWA KUNYWA WA UMRI...
  4. prosper ferdinand mushi

    JamiiForums Tanzania Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Usimlazimishe mtoto kula kitu asichokipenda kikawaida wazazi walezi hupenda sana kumlisha mtoto chakula kile kilichoandaliwa visical kwa watu wazima hii sio sawa kabisa kwa mtoto wala hatuwatendei haki na pia tunakuwa tunawapa vitu vingine mwili wake bado haujafikia kuhimili mtoto wako akianza...
  5. prosper ferdinand mushi

    JamiiForums Tanzania Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    .......NDIZI NA SIAGI.... MAHITAJI NDIZI BUKOBA AU BUTOKE 1 SIAGI TSP 1/4 MAZIWA FRESH 1/4 CUP JINSI YA KUANDAA CHUKUA NDIZI IOSHE TU KWA NJEE KISHA ICHEMSHE NA MAGANDA YAKE MPAKA IIVE ITOE IMENYE ISAGE PAMOJA NA MAZIWA NA SIAGI NA URUDISHE JIKONI KWA MOTO MDOGO KWA DK 3 EPUA MLISHE MTOTO
Back
Top Bottom