Recent content by PROSEKYUTA

  1. P

    Waziri wa zamani asema January Makamba ameisababishia nchi hasara ya Shilingi trilioni 1.268

    Kwenye mchango wake kwenye hotuba ya bajeti ya Waziri wa Nishati, January Makamba, ya 2023/24 iliyopitishwa na Bunge jana, Waziri wa zamani, Luhaga Mpina, amehoji madudu yafuatayo yaliyofanyika kwenye wizara ya Nishati chini ya Makamba: MKATABA WENYE UTATA WA TEHAMA WA SHILINGI BILIONI 70 BAINA...
  2. P

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Tenders resignation letter this morning Feared he may flee the country to avoid prosecution Sources reveal how Vodacom Tanzania MD met more than 10 times with Tanil Somaiya, Rostam Aziz to negotiate $5 million kickback Vodacom corporate affairs chief issues cover-up statement that back-fires...
  3. P

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Nyaraka za ndani kutoka Vodacom Tanzania zinaonesha jinsi ufisadi huu ulivyofanywa
  4. P

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Na hii hapa ni barua ya Vodacom Tanzania kuvunja mkataba na kampuni ya Shivacom kutokana na kashfa hii ya wizi wa vocha ambazo walioibiwa ni wananchi masikini wa Tanzania wanaoweka vocha za shilingi 500 kwa wingi...
  5. P

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Nyaraka hizi kutoka ndani ya Vodacom Tanzania yenyewe zinaashiria kuwa hii kashfa ni ya ukweli!
  6. P

    Barrick Gold mining yabadili jina na kujiita ACACIA

    Navyofahamu mimi, African Barrick Gold haijapewa tax holiday yoyote na TIC. Wenye tax incentives ni migodi kama Bulyanhulu ambayo haijabailisha jina. Ni dhahiri kitendo cha kubadili jina cha Barrick hakina uhusiano na ukwepaji kodi, eti wapewe tax holiday zaidi. Kampuni hubadili majina kama...
  7. P

    Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    JK anaweza kuchaguwa PM kwenye makundi matatu -- 1. Wazoefu (wakongwe), 2. Vijana 3. Wanawake KUNDI LA WAZOEFU Hao waliotajwa -- SITTA, MWANDOSYA, WASSIRA KUNDI LA VIJANA 1. Mwigulu NCHEMBA 2. Hussein MWINYI 3. JANUARY MAKAMBA KUNDI LA WANAWAKE 1. Anne MAKINDA 2. Celina KOMBANI...
  8. P

    Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    Dah, Great Thinkers hamjui hata katiba inasemaje. Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa sio wa kuteuliwa.
  9. P

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Kinachotisha hapo kwenye hiyo document ni maneno kuwa wahariri wa magazeti wameandaliwa na kamati ya kusimamia utangazaji wa Katiba Iliyopendekezwa inafanya mazungumzo na wahariri hao ili ijulikane bajeti ya kiasi gani inatakiwa ili wahariri walipwe watoe habari na makala za kupigia kampeni...
  10. P

    Slogan za Lowassa zinavyoitesa CCM

    CCM wanataka mpaka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afufuke kaburini ndiyo waache kumlea Edward Lowassa? Huyu hafai hata kuwa Rais wa TFF. Kaliingiza taifa kwenye hasara kubwa ya Richmond/Dowans. Ni tajiri wa kutupwa kwa kutumia vibaya ofisi za umma (abuse of public office). Hapa TAKUKURU...
  11. P

    Serikali yagaragazwa mahakamani na Peter Kibatala kesi ya katiba

    Wewe Kilaza ndiyo mwanasheria wa Kubenea? Nani anakulipa legal fees kwa kupitia Kubenea? Ni muhimu kujua unalipwa na nani kwenye kazi unayofanya
  12. P

    Dhamira yangu sasa ni kugombea nafasi ya urais mwaka 2015

    Nakuunnga mkono. Kachukue fomu na wewe ugombee. Nawasihi wasanii wa Bongo fleva na Bongo muvi ambao ni wanachama wa CCM na wametimiza miaka 40 nao wakachukue fomu. Kwani ni bora Mzee Majuto awe Rais wa Tanzania kuliko viongozi waliokosa maadili na kujilimbikizia mali za umma kama Edward Lowassa...
  13. P

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Lowassa ni kielelezo cha kiongozi fisadi asiye na maadili. Hafai kuwa hata Rais wa TFF. Kama mnataka mchapa kazi CCM chagueni Dr. John Pombe Magufuli (chaguo la wananchi) au Dk. Harisson Mwakyembe (jembe). Achana na Lowassa ambaye kajilimbikizia mali kwa kupitia ofisi za umma na ameliingiza...
  14. P

    Kikwete's Speech on Ending Extreme Poverty - Washington, D.C (Sept 19, 2014)

    Hapo kwenye red mwisho wa speech amenoa. Ni "abject poverty" siyo "object poverty". Hii ina maana JK na speech writer wake na wasaidizi wengine wote wanaotakiwa kupitia speech kabla haijatolewa ni vilaza wa Kiingereza. Enzi za kiongozi mahiri Rais Benjamin Mkapa akiwa na speech writer wake mkali...
  15. P

    Waandishi wa habari wa Mbeya waitia aibu Tanzania ziara kwenye yao ya Malawi

    Waandishi wa habari wa Mbeya waitia aibu Tanzania kwenye ziara yao ya Malawi Kikundi cha waandishi wa habari wa Mbeya ambacho kiko ziarani Malawi kimeitia aibu Tanzania na hivyo nchi hii kuonekana imejaa vilaza wakati huu ikiwa na mgogoro wa mpaka na Malawi. Soma blogu ya waandishi wa habari...
Back
Top Bottom