Recent content by ProfessorChama

  1. ProfessorChama

    Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    MH RAIS JPM KAZA UZI HUKU MTAANI WAPINZANI HAWANA CHA KUONGEA WANAPIGA MILUZI KWA KUWA WALIVYOKUWA WANAVIPIGIA KELELE WEWE UNAVIFANYIA KAZI KWA VITENDO. NA BADO HIYO NDO CCM LAZIMA MPOTEE KABISA KWENYE MEDANI ZA SIASA
  2. ProfessorChama

    Kampuni 4 zabainika kukwepa kodi Sh. Bilioni 29.2. SKOL, A. M Steel wamo...

    Watanyooka tu mwaka huu . Hongereni PCCB & TRA
  3. ProfessorChama

    Kuwa mtoto, ndugu au rafiki wa Rais si dhambi...Muacheni DC wa Kisarawe achape kazi

    U DC SIYO CAKE YA BIRTHDAY KILA MTU APATE PIA USHIRIKI WA KADA KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI ZA CHAMA UJIRA WAKE SIYO U DC NA HII NDIYO KASUMBA MBAYA WALIYO NAYO BAADHI YA MAKADA VIJANA KATIKA CHAMA. KILA MTU AFANYE KAZI KUJENGA CHAMA NA SERIKALI HABARI ZA KUJUANA NDIZO ZILIZOIGHARIMU AWAMU ILIYOPITA
  4. ProfessorChama

    Kuwa mtoto, ndugu au rafiki wa Rais si dhambi...Muacheni DC wa Kisarawe achape kazi

    Kinachohitajika ni uwezo na Uzalendo katika kada ya Utumishi wa umma wa kuteuliwa na Mh. Rais na si vinginevyo. Na uteuzi siyo cake ya birthday kila mtu apate pia ushiriki wa kada kwenye shughuli mbalimbali za Chama ujira wake siyo U DC. Na hii ndiyo kasumba mbaya waliyo nayo baadhi ya makada...
  5. ProfessorChama

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    MTOA MADA KAKURUPUKA MBONA SPEECH YA MR. PRESIDENT IKO VIZURI SANA REFER HEADINGS MBALIMBALI ZA MEDIA BAADA YA ILE HOTUBA. ACHA UCHOCHEZI WEWE
  6. ProfessorChama

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    HAMIA HATA KESHO NYIE NDIO WALEWALE MCHANA CCM USIKU UKEWENZA
  7. ProfessorChama

    UKAWA watofautiana bungeni

    SPIKA AWE MH. JOYCE NDALICHAKO NA NAIBU WAKE DR. TULIA LAZIMA WARUDI KIBORORONI KUUZA MAPARACHICHI
  8. ProfessorChama

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    MH. RAIS JPM KATIKA UBORA WAKE NA UTEUZI MPYA WA WAHESHIMIWA WAKUU WA WILAYA VIJANA
  9. ProfessorChama

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    PITIA VIZURI NA UYASOME HAYO MAJINA KWA USAHIHI. ACHA KUPOTOSHA WATU
  10. ProfessorChama

    UKAWA watofautiana bungeni

    NDUGU UKO VIZURI SANA.... JARIBU KUWAELIMISHA NA HAO WANACHAMA HEWA WA UKEWENZA
  11. ProfessorChama

    Yaliyojiri wiki ya uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia viwanja vya Biafra, Rais Magufuli azungumza

    JIPIME MWENYEWE.... UKIPATA JIBU LIKUSAIDIE SIKU ZA USONI
Back
Top Bottom