Recent content by Professor jr

  1. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Acha ujinga ,hivi mwanaume asiye na akili kama wewe anawezaje kuoa ? Mwanamke kama huyo bado unamuita mke wangu ana hajakuzalia hata mtoto ,achana nae tengeneza maisha yako tafuta mwanamke atakaye kuheshimu.
  2. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Kaka huyo hata asikuumize kichwa lala ukiamka acha hela ya mboga nenda kazini ukirudi acha hizo story piga mechi yako safi endelea kula maisha .
  3. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuposti mitandaoni mnapokasirika, wife aliwahi kujuta

    Mwamba umenifufahisha sana ,story safi sana .When men act like men a family is on safe hands .
  4. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me September 11 K Ke October 10 H
  5. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Sasa hapo Kuna ndoa? Njia sahihi ni kuachana maana kulea watoto kwenye ndoa kama hiyo ni mbaya zaidi ya kuwa na mzazi mmoja
  6. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

    Mzee hujui ufanyaje ? Kweli siku hizi wanaume ni dhaifu sana dump her and build yourself
  7. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jimama linanitaka kwa nguvu

    Stay away from single mothers
  8. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    System kwa jinsi ilivyo mwanamke anaeonekana mpambanaji anapitia mengi so huwa siyo mwaminifu then huwa hajitoi sana
  9. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mke wa mtu ila dah!

    Kaa mbali na mke wa mtu ,hata mwanaume dhaifu atatoa panga na kukuchinja ukicheza na mke wake .
  10. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutomtamani Mwanamke kingono kwenye mahusiano kunamfanya apoteze kujiamini?

    Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa. Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano...
  11. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    How comes mapenz yanakuwa hayana faida na ndo destination ya kila mtu ,unavo ongelea mahusiano unazungumzia yenye tuja mwisho wa siku yaje kutengeneza familia bora na pia mm nazungumzia ni moja ya skills ambazo mtt anatakiwa ajifunze kutoka kwa wazazi
  12. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Kuwa mwafrika hainifanyi kuamin kitu kizur cha mzungu ni usaliti kwa Afrika hapana but kuna mambo ambayo wanafanya vzur kuliko sisi so hatuna budi kuyaiga Then kuhusu kuwa na tabia nzur hilo ni jambo pana lakn nilicho kuwa namaanisha mm mtt wako anatakiwa kujifunza kila kitu kutoka kwako kabla...
  13. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Ni mfano tu hata ukisema who is ur boyfriend [emoji4],the adding do you think that boy is luck enough to have beautiful girl like you and why? Mtt anazoea kusifiwa mapenz hayata mshangaza
  14. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Ndo hvyo lazima niwe makini asije akawa demu wa wana bure
  15. Professor jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Sio tu kuongea nae nitamshauri mtu gani wa kuwa nae ,vitu vya kuzingatia akiwa kwenye mahusiano madhara na mambo mengine mengi ikiwemo elimu ya ngono atapata kutoka kwangu kabla hajadanganywa na mtaa
Back
Top Bottom