Recent content by Profesa Kelembe

  1. P

    Mama wa kambo tuwe na ubinadamu

    Kuna clip inazunguka mitandaoni ikumuonyesha mtot akimpiga mtoto mwenzie ambaye ni mdogo zaidi kuliko yeye.Huwezi kuiangalia hiyo clip inatia uchungu sana. Inaonekana mtoto huyo ameagizwa na mama yake ampige huyo mtoto huku yeye akimrekodi kwa simu, huu ni unyama wa hali ya juu. Lakini tatizo...
  2. P

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Headmaster wa mwanzo alikuwa Ndugu Kazimoto Msasa,pia walikuwepo walimu kama Mapunda,Kalembo,Shauri,Msalu nk.
  3. P

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Nimesoma na Mheshimiwa Sugu shule ya Msingi Ligula,Mtwara. Tukiwa darasa la pili tulikaa dawati moja na alikuwa ni rafiki yangu sana,tukitoka darasani muda wa saa tano tunakwenda nyumbani kwetu Ligula B tunachota korosho kwenye debe(korosho first grade za kutoka kiwanda cha korosho Likombe...
  4. P

    Ushauri kwa Mhe. Dkt Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu bodi za wakurugenzi

    Mheshimiwa Rais kwanza nikupongeze sana kwa jitihada ulizozichukua kuhakikisha mashirika ya umma yanalipa gawio kwa serikali. Tumeona mwaka 2014/15 ni kiasi kidogo tu kilichokuwa kikitolewa kwa serikali na mashirika mengi yalikuwa hayafanyi vizuri,lakini sasa tunaona tunapata hadi Tshs Trilioni...
Back
Top Bottom