Recent content by Prof Sankara

  1. Prof Sankara

    SoC02 Kazi tatu za kumwingizia mwanafunzi pesa akiwa chuoni

    Utangulizi Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe. Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda mrefu mpaka kumaliza kiwango cha shahada ya kwanza. Kwa kawaida mtu anaweza kuhitimu shahada ya...
  2. Prof Sankara

    SoC02 Ushindani na hamasa katika kukuza vipaji kwa watoto

    Utangulizi Ushindani ni namna ya kupima uwezo, uzuri, uimara, umaridadi, au ubora baina ya pande mbili kwa kutumia vigezo takikana. Ili kupata mshidi husika vigezo huzingatiwa kupima pande zote mbili. Kupima uwezo wa akili kwa mtu, ujuzi, wake katika Nyanja Fulani lazima akidhi na...
  3. Prof Sankara

    SoC01 Wanajali hela zetu hawajali afya zetu

    Bila kujali wazee, vilema, watoto, akina mama wenye mimba, watu hupigana vikumbo kila siku kugombea viti kwenye daladala na mabasi ya mwendokasi. Adha hii inayowawakabili wakazi wa jijini la Dar es Salaam na miji mingine mikubwa,haionekani kupata ufumbuzi bado.Katika purukushani hizo wakati...
  4. Prof Sankara

    SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    Ni muhimu kuwa na mkakati madhubuti wa kuhakikisha watoto wanakuwa wabinifu, kutokana na wenye fikra pevu.
  5. Prof Sankara

    SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
  6. Prof Sankara

    SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
Back
Top Bottom