Recent content by prof.elias

  1. prof.elias

    Dodoma wing mpo?

    Na kiasi ndugu?
  2. prof.elias

    Dodoma wing mpo?

    Wanakodisha au wanauza mae
  3. prof.elias

    Dodoma wing mpo?

    Mimi kwa sasa nipo area d, nahitaji kupata eneo lenye chanzo cha maji kwa ajili ya kupanda matikiti ili kuongeza kipato kwa hapa dodoma?
  4. prof.elias

    Dodoma wing mpo?

    Dodoma mpo?
  5. prof.elias

    Shamba heka mbili linauzwa

    makaratasi yapo kaka.
  6. prof.elias

    Shamba heka mbili linauzwa

    hakuna matatizo yoyote hapo kwenye hilo shamba kabisa, lipo kijiji cha ngeta au piga namba hii hizi kwa maelezo zaidi 0712754400 au 0713626494 wakati wowote utapata maelekezo zaidi.
  7. prof.elias

    Shamba heka mbili linauzwa

    unafika kabisa mlandizi stendi kabisa na unaingia upande huo huo wa kushoto kutokea dar au ukitokea chalinze unaingia kulia kijiji cha ng'etwa ni kama 1km toka stendi.
  8. prof.elias

    Shamba heka mbili linauzwa

    Nauza shamba langu mlandizi kwa bei ya haraka mil 2.5, lina ukubwa wa heka 2 tu. Mawasiliano:0714187123, 0712754400.
  9. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Hata moja ukitaka ila nilipenda kwa zote ili mtu na uhuru na eneo lako ila ukitaka niambia nitafanya hivyo.
  10. prof.elias

    Viwanja viwanja viwanja Dodoma

    Huku lazima uwe makini cda ndio mpango mzima.
  11. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Bei ni mil 5 kwa hekari zote sio moja moja.
  12. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Ulimaji wa huko niwakutegea mvua.
  13. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Maji yapo ila yapo mbali,
  14. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Sorry guys nilikuwa bize na kazi kidogo. Sina picha kwenye simu ila kunafaa mazao ya mahindi na mihogo kwa livyo lima mimi mwanzo. Price ni hekari zote kwa bei hiyo
  15. prof.elias

    Shamba linauzwa

    Shamba la heka 4 linauzwa kwa mil 5, lipo mlandizi mwisho kisha unaingia km 1 kwenda kwenye kijiji cha ngeta. Mawasiliano 0713626494 & 0767626494 karibuni sana.
Back
Top Bottom