Recent content by Priya

  1. P

    Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

    Asante sana kwa namba nitampigia niongee nae. Nakushukuru sana.
  2. P

    Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

    Nitashukuru kama utanipa namba ya dalali niongee nae
  3. P

    Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

    Nadhani umekosea mimi ni mwingine nahitaji nyumba Zanzibar unaweza kunisaidia
  4. P

    Makamee

    Habari nimeona post ya nyumba bado ipo nimeipenda kama ipo nipangishe mara moja
  5. P

    Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

    Hiyo nyumba bado ipo available kama ndio ningependa kuja kuiona na kuipanga
  6. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Happy new year. Mkuu majimoto asante kwa ufafanuzi wako. Mkuu majimoto sasa kama unamjua adui yako na kila siku anakufanyia vituko leo hichi kesho kile na unasamehe kila siku kama Mungu alivyosema lakini bado anakuwa kichwa ngumu anaendelea. Sasa Mkuu nitawaitaje Malaika na kuwaambia wakampatie...
  7. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mkuu Majimoto asante sana kwa ufafanuzi wako mzuri. Hizi ajili kubwa zilizotokea hapa nchini kwa mfano MV BUKOBA na ajali za treni zilisababishwa na wachawi ama ni Malkia wa Anga alikuwa anapita offroad? Kuna aina ngapi za mbingu na imekuwaje mbingu mbili zimechukuliwa na malkia wa anga? Na...
  8. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    mheshimiwa Majimoto kuna tofauti gani kati ya Demon na majini? Kama ni tofauti uhusiano wao na utofauti wao ni nini? Na hayo mafuriko Dar ni moja ya kazi za malango ama??? Freemason wanahusika vipi na malango ya Tanzania? Na kitendo cha rais mstaafu wa Amerika (jina kapuni) na prince wa...
  9. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mkuu Majimoto nimeshasikia kwa watu kwamba hapa Tanzania kuna mawe ambayo yanapigiwa ngoma na kucheza, Je hii ni kweli ama ni uzushi na kama ni kweli ni majini? :noidea::noidea:
  10. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mkuu Majimoto kama mkuu wa wachawi wote East Africa kafariki nani atachukua nafasi yake? Na inakuwaje huo mlango wake wa swimming pool ambao alikuwa anatumia kwenda kuzimu?
  11. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Ruhazwe JR: Ndio unajua leo, mbona haya mabo yapo ndugu yangu ukiwa na pesa wewe mtu ukiwa huna wewe gunia. Makanisa kama hayo ndiyo yanafanya watu wanapoteza imani na kubadili dini zao. Pole ndugu yangu cha muhimu ni imani yako omba mungu hatakutupa.
  12. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Asante kwa ufafanuzi wako mkuu. :poa
  13. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mheshimiwa Majimoto kama yote ulioandika hapa ni kweli na yamefanyika huogopi watakuchukua????? Na binadamu anasafiri vipi na kijiko???????? Jamani Majimoto please reply.
  14. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    ndio majimoto utarudishaje hizi roho?????
  15. P

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mheshimiwa Majimoto tafadhali nitumie contacts zako nahitaji kuongea na wewe kirefu kuhusu masuala ya dunia/uchawi/dunia isiyoonekana inaelekea kuna vitu vingi sana ambavyo sijui na ningependa kujua.
Back
Top Bottom