1. Survey along mlimani road or
2.Tabata Aroma or
3.Mbezi Tangi bovu hadi goigi.
Msaada wenu wakuu, hata nikipata contact za madalali wa maeneo hayo nitashukuru..Thanks.
Habarini wakuu, Miaka miwili iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye tuliachana since 2012 sijakuwa na mawasiliano naye kwa muda mrefu sana.
Kuanzia mwezi mmoja uliopita amekuwa anapenda sana kuchat na mimi na akanieleza anaolewa miezi ya hivi karibuni na vikao vya...
Nina proposal ya fund source kwa charity organisations, mwenye registered charity organisation tuwasiliane na kuona kama tunaweza fanya kazi pamoja.ni PM tuwasiliane.Asanteni wakuu
Wakuu, nahitaji loan ya mill 1 Tshs nimepungukiwa katika kuanzisha biashara yangu.Niko Dar.Dhamana nilizonazo ni vitu kama friji, sofa etc. Uwezo wangu ni kurejesha kwa miezi 2 au 3 kwa riba isiyozidi 15 percent per month.Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.