Tumaini Makene
Kuna watu wanatumiwa kuharibu flow ya huu mjadala kwa kumhusisha Mussa Azzan Zungu na Idd Azzan ambaye ni muhusika mkuu alietajwa hapo juu....inasikitisha sana na nashangaa mods wamelala coz hii kitu ni hatari.....naomba hiyo michange yao ifutwe then to discuss content
Nambalapala
Bora ww umegundua hilo.....Inasikitisha kuona great thinkers wanashindwa kutofautisha IDDI AZZAN na MUSA AZZAN 'ZUNGU' jamani alietajwa katika taarifa hiyo ni IDDI AZZAN mbunge wa Kinondoni na sio Mussa Azzan 'Zungu'
rpg mtake radi mheshimiwa Zungu alietajwa hapo ni IDD AZZAN mbunge wa Kinondoni na wali sio Mussa Azzan Zungu Mbunge wa ILALA....tuweni makini na tunachokiandika
Wanajamii
Nataka kutoa Angalizo ili kile tunachoandika kisije kutuletea matatizo..........
Mbunge alietajwa katika taarifa ya hapo juu ni IDD AZZAN huyu ni mbunge wa Kinondoni na wala sio Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu.....therefore we need to differentiate between the two politicians otherwise...
Ngongo mtake radi mheshimiwa Zungu alietajwa hapo ni IDD AZZAN mbunge wa Kinondoni na wali sio Mussa Azzan Zungu Mbunge wa ILALA....tuweni makini na tunachokiandika
Wadau
Mambo mengi ya kimafia yalikua yanatokea behind the scene but WATU walikuja kustuka baada ya unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka.....kabla hata machungu ya Dr. Ulimboka hayajaisha.....mara ya Absalom Kibanda yakafuata.....mbaya zaidi wahalifu wa matokeo yote hayo mawili either hawajakamatwa...
TECH WIZ
ahsante kwa kutambua hilo pia huyu jamaa anaonekana ana interest na hii issue......but have my word i am going to find out every thing about him very soon.....
scramble
Are you also part and parcel of the syndicate??? Because you have consumed a lot of energy in launching personal attack rather discussing the issue on the table......cool down man!!!!!!
scramble
Nilishapeleka taarifa kwa mkuu wa kituo pale Gerezani aliniambia taarifa hizo wanazo na tayari wameanza uchunguzi.....the usual blah blah....kuhusu site mirror ni typing error and its not big issue to me and i am not gona edit it
okon
Najua wahanga wa wizi vifaa vya magari ni wengi hapa mjini ila kama tuki share experience tunaweza kupata solutions kwani vyombo vyetu vya usalama viko weak sana.....intelejensia haifanyi kazi wezi wanatamba mtaani hakuna wa kuwachukulia hatua.....TUAMKE
BigTime
Sasa ni wakati muafaka wa sisi kushirikiana kupambana na mtando huu kwani unarusdisha nyuma harakati zetu za kujikwamua kiuchumi... just imagine kama hiyo pesa uliotumia ku purchase back your spare parts ungewekeza si leo ungekua umepiga hatua moja mbele?
Ndugu Wana JF
Kwanza ni declare interest..mimi ni Private Detective nina degree ya criminology kutoka chuo kimoja huko Salt Lake nchini America.....nina takribani mwaka mmoja toka nimerudi nchini sikutaka na kamwe sitaki kuomba kazi kwenye vyombo vyetu vya usalama kwani bado vinavafanya kazi in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.