Recent content by Pristicaicram

  1. P

    KERO Halmashauri ya Mkuranga inataka tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupitia vibanda

    Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo watu hatuelewi wakidai kwamba tunataliwa tulipe elfu 40 kodi ya kibanda na wakati kibanda ni changu...
  2. P

    Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

    Ila kimsingi makanisa yote niyakibiashara na sidhani kama wanaoenda kama kunakitu hawafanikiwi niwanaakili timamu hivyo mtu ajashikwa mkono kua atoe laki5 kama awezi anaacha naajalazimishwa kwenda nitamaa zake mwenyew napia inawezekana wanafanikiwa ndomn wanaazidi kwenda hivyo wangemwacha tu...
Back
Top Bottom