Recent content by Prisca22

  1. P

    JamiiForums Tanzania Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

    nina wanaume tayari 🌚,gym nyingi zina wanaume tu mm natak mchanganyiko ili nikutane na wanawake tufanye mazoezi kwa pamoja
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

    asante sana maana wa tz 😂wanamawazo mgando
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maadili

    wanaume ndio malaya namba moja!hao.wanaolala na wanawake ni.wakina nani au mnalalana wenyewe 🤣🤣
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

    Mwenye anajua jamani anaweza nisaidia namba ya simu au kunielekeza
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Bank statement?

    Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Back
Top Bottom