Siyo kweli ww sikatka manhaj hiyoo kwamana hao salaf hawakutumia njia na vgezo hvyo na km unajinasibisha nao rud kwa allah..tawakal kwa Allah fuata misingi ila kumbuk "yaa ayyuhalazna aamanu, ittaqllah hakkatukatih shekh" manhaj hii au watu ktk assalafiyun hufata mienendo ya wema walotangulia...
Kwamajina naitwa Nasibu nna age ya 26,elimu bachelor ya education pia ya dini ipo,natafta mwanamke wa kuoa ila awe navigezo vifwafavyo
.muislam
.mwenye kuipenda stara ama hijabu zakisheria
.umri usizidi 30 usipungue 22
.alyetayari kwa sasa kuingia ndoani nasokudate
.asopenda kusema nitumie...
Natafta Mke vigezo awe tayar kuolewa, mwislamu,umri 24-32,mawasiliano ni WhatsApp 0653290146....
CV
.Elimu -bachelor ya education (elimu ya chuo)
.Kazi-Nimejiajiri maduka ya cm bnafs
.Cna gari bado
.umri 25
.mwislamu nlosoma dini.
.kabila-mrangi
NB: kama wapenda pesa usijisumbue na CV nyingne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.