Recent content by Princess Zara

  1. Princess Zara

    Hivi UKIMWI hubagua wa kuambukiza?

    Una uhakika tumeishi wote miaka 4 mkuu? Hebu kubali tu kuwa huwezi jua kila kitu hapa duniani. FYI: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hupangia wanafunzi wake vyumba upya kwa kila mwaka wa masomo.
  2. Princess Zara

    Hivi UKIMWI hubagua wa kuambukiza?

    Kwahiyo ofisi ya Warden wa Chuo huwa wanaangalia tabia wanapopangia watu vyumba ee?
  3. Princess Zara

    Hivi UKIMWI hubagua wa kuambukiza?

    Roommate wangu chuo alikitembeza sana in her past life. Yani by the time tuko chuo mwaka wa nne alikuwa ameshakinai akapata mchaga huko akamvisha pete. Siku alipoenda kupima nae ngoma akarudi akaniambia “Z, UKIMWI ni fate. Kama umeandikiwa kupata utapata na the vice versa is true” Maana alikuwa...
  4. Princess Zara

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Yani nimesoma kuanzia ile ya awali na hii hadi nimelia na bado nina hasira. Natamani nikwambie uje uishi nami kwangu. You need a hug or two kwakweli. Pole! Nashauri achana na huyo mwanaume. Nakwambia hivi, ATAKUUA!!! Si kwa silaha wala nini ila sononeko huleta mauti. Una mtoto mdogo utamuacha...
  5. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Huwa nahurumia sana watu wasioamini katika mapenzi natural. Akiona mtu anapenda sana au anajitoa kwa mpenzi wake anadai karogwa. It is sad really nakuombea utoke huko. Unless it's mad, passionate, extraordinary love, it's a waste of your time. There are too many mediocre things in life. Love...
  6. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Kuniambia ukweli hapana ila nimeamua kutomjibu kwa sababu ni mtu anatafta tu sifa ni wa kusifiwa ili aridhike. Mtu ambaye anaamini mapenzi ni uchawi nadhani anaeleweka ni wa aina gani. Halafu hapo hapo anasema "sina uswahili". Daaah...
  7. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Siwezi kumuomba msamaha kwa sababu sijamkosea. Mateso humpata yeyote yule mwema na mbaya kwahiyo sikatai naweza kupata mateso ila sitolaumu hili kuwa chanzo.
  8. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Aisee we dada unaongea sana i have to give you that. Hongera sana kwa mdomo mwanawane[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
  9. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Hahahaha! Sawa, nikipewa hela next time nitampa yeye ashike naamini hana ufisadi kama mimi atawapa na wenzie.
  10. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Sasa mimi nitafute ukweli wa mkewe kuwa mzinzi ili nipate nini na naanzia wapi? Kama ni kweli au kadanganya its on him na ni mambo kati yao. Nimepima character yake kwa vipimo vyangu binafsi nikakubaliana nayo. Kama nimefanya makosa nitajifunza kutokana nayo na kama niko sahihi basi well and good.
  11. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Sijawahi kujiona bora kuliko ex wake wala sijajiwekea malengo ya kumbadili kivyovyote. Ukitaka mwanaume perfect muumbe mwenyewe but kama ni hawa waliolelewa kwa wazazi wao tukakutana nao tegemea lolote tu!
  12. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Asante kwa ushauri wako. Kwakweli kwa kupitia michango yoote ukiacha ya kukejeli na kuhukumu nimegundua nilipanick sababu ya uoga wa hali tu. I have to woman up! Nitajitahidi sana kuwa mama, niwe involved na watoto sababu i admit sikuwa involved nao hata kuongea nao tu casually ni kitu rare...
  13. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Nadhani hii ingekuwa bora kwetu wote ila ndo yashatokea hatuwezi kurudi nyuma inabidi tu nijipange kupambana na hali yangu.
  14. Princess Zara

    Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    Ametoa talaka mara moja maishani mwake na ameitoa baada ya miaka 10+ ya ndoa. Sidhani kama naweza kusema anatoa talaka OVYO. Na hata ambaye hajawahi kuoa unaweza kuwa wewe wa kwanza kukupa talaka.
Back
Top Bottom