Recent content by PrinceNdiba

  1. PrinceNdiba

    JamiiForums Tanzania Maana ya jina la Butesi

    😅😅Hawa jirani zangu wote ni wahaya wa mchongo, waliozaliwa hapa mjini na kukulia hapa mjini.
  2. PrinceNdiba

    JamiiForums Tanzania Maana ya jina la Butesi

    Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua?
  3. PrinceNdiba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya tuyasikie kwa watu tu. Wanawake wa kihaya mmenishinda tabia naapa sitokaa nihusiane na binti kutoka hii pande

    Umeishia kusema mfuateni fb. Sasa mtu atampataje kule bila kujua ni nani?
  4. PrinceNdiba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake wenye makalio [hips] nene huzaa watoto wenye akili sana

    Hizi tafiti mnazitoa wapi? Labda mtu aniambie hizo nutrients kwenye maziwa, lakini eti makalio!!!!! Come on, you are better than this.
  5. PrinceNdiba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI : WANAWAKE HUPENDA MARA MMOJA TU KATIKA MAISHA YAO.

    Pole. Jaribu kumweleza kinaga ubaga juu ya hisia zako, atakuelewa. Hasipokuelewa take it easy, drink a cup of tea, and let time pass. Slowly you will get over it.
Back
Top Bottom