Recent content by Princely

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Aiesee umeeleweka sana na huo ndio ukwel
  2. P

    JamiiForums Tanzania CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Wamestuka safi sana
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sentensi 11 zilizotolewa na Freeman Mbowe kwenye Baraza la Idd

    Ulikuwa mkutano wa kisiasa au???
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

    We jinga kwel unafikir tunachagua rais wa kenya eee jinga kabsa!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Hii mahakama ya mafisadi nataman ianze fasta ili EL apate anachostahili!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Nimeipenda sn hii..huyu ndio rais wawatanzania wote safi sana MAGUFULI
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    Sheria inasemaje kwa mtu ambae amekuchafua kwa tuhuma zito kama hizo alzo toa Dk slaa dhidi yake..kama kwel ni uongo y asiende Mahakamani!
  8. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA ya Lowassa yapumulia mashine, BAVICHA wakosa hoja

    Tumia vizur hicho kichwa kwa kufikiria sio kwaajil ya kiduku tu #Shetani ni Shetani tu hawezi kuwa Malaika hata siku Moja!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu juu ya Lowassa

    Magufuli ndiye Rais wa awamu yatano na haitaji hata goli la mkono kwan amewaacha kwa mbali sn wapinzan wake!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Umeishapata mkuu ka bado nambie nkutmie
  11. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli amesema ukinunua madaraka ipo siku utawauza uliowanunua

    Lowassa hafai kabsa kukabidhiwa nchi hii ataiuza kama alivyoinunua chadema!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Mafisadi wote ndani ya ukawa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba kufutwa uanachama na kufukuzwa CUF

    Mkuu mtu atumikie chama kama mwenyekiti kwa miaka 16 eti awe wa kawaida..kwa miaka yote hiyo hawakuona mwingne nawakaendelea kumchagua yeye..kwa ck mbili hiz umeisha muona wa kawaida,fikiri upya mkuu!
Back
Top Bottom