Recent content by Prince Naahjum

  1. Prince Naahjum

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    [emoji173] [emoji173]
  2. Prince Naahjum

    Few dating tips

    Mungu akubariki san
  3. Prince Naahjum

    Few dating tips

    Amin.. Mungu aizidi kuwa mwema kwetu soteee
  4. Prince Naahjum

    Few dating tips

    Amina.. Asantee sana..
  5. Prince Naahjum

    Few dating tips

    Shukran ndugu
  6. Prince Naahjum

    Few dating tips

    Kuwa na Mungu kwanza kwa maana yeye ndiye faraja ya dhati, na kamwe hawezi kukusaliti.. Kisha mengine huja tena Mungu hukuletea kwa kile anachoona kinakufaaa maishani..
  7. Prince Naahjum

    Few dating tips

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi. 2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu. 3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala...
  8. Prince Naahjum

    Dear singles, unapojiona uko tayari kununua kiatu chako zingatia mambo haya matatu yafuatayo

    Mapenzi kwasasa ni tafran baadhi ya wanawake wanataka mali wanaume wanataka miili. Na waliobaki wachachee ni nadra kuwapata na kuwaamin
  9. Prince Naahjum

    Dear singles, unapojiona uko tayari kununua kiatu chako zingatia mambo haya matatu yafuatayo

    Ni elimu juu ya chaguzi sahihi la kuoa au kuolewa nalo usije juta
  10. Prince Naahjum

    Dear singles, unapojiona uko tayari kununua kiatu chako zingatia mambo haya matatu yafuatayo

    Kama ukivaa kiatu kinachokupwaya, kaa tayari kuboreka, kuwa 'disappointed' na kuwa 'frustrated' katika maisha yako, na kama ukivaa kiatu kinachokubana basi kuwa tayari kuugulia maumivu ya mguu katika maisha yako ya hiko kiatu.". Kitu kimoja kuhusu ndoa ni kwamba hautupi tu kirahisi rahisi au...
  11. Prince Naahjum

    Mwanamke huwa mzuri kama anahofu na Mungu

    Hatarii [emoji91] [emoji91]
  12. Prince Naahjum

    Mwanamke huwa mzuri kama anahofu na Mungu

    Mwanamke hawi mzuri kwa sababu ana sura nzuri au shepu namba nane. Mwanamke ni mzuri kama anahofu ya Mungu na ana humble spirit. Hio ndio alama ya uzuri wa mwanamke. Usituoneshe catwalk, usituoneshe namna ulivyo na shepu, tuoneshe upendo wako kwa Mungu. Ni bora tukawa peke yetu na Mungu wetu...
Back
Top Bottom