Recent content by Prince az

  1. Prince az

    JamiiForums Tanzania Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Chama ni mali ya mwenyekiti Mbowe subili afikishe miaka 68 ndo astaafu ,vinginevyo nguvu kubwa itatumika kumbakisha
  2. Prince az

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo na siyo Oktoba 2025

    Au sio ,,,, ngoja tuone muda ni hakimu mzuri sana
  3. Prince az

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

    Kwani joshua mutale (mb) nae anaongea lini au bado wako location kutengeneza igizo lingine
  4. Prince az

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Familia ya hayati Mohamed Kibao ukiieleza kuhusu Maridhiano itakuelewa kweli? Au Maridhiano yalikuwa ni Mchongo wa Watu kupeana Fedha!

    Hii nayo ni DAB ya siasa Tindu lissu akimkabili vikali sana bwana mbowe
  5. Prince az

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Familia ya hayati Mohamed Kibao ukiieleza kuhusu Maridhiano itakuelewa kweli? Au Maridhiano yalikuwa ni Mchongo wa Watu kupeana Fedha!

    Mwaka umeanza kwa gia kubwa sana japo ni mwaka wa uchaguzi lakin ngoja tuone muda utupe majibu
  6. Prince az

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Mimi niko tofauti sana na nyie mnaokataa kwamba yanga hawafanyi ushirikina ,kwasababu ,nyinyi mnaokataa kwamba kwenye mpira hamna ushirikina basi nyinyi ndo wachawi wenyewe Kama hamwamini ushirkina kwenye mpira ,hapa Tanzania kila kona ukipita hukosi vibanko vya waganga wa kienyeji sasa...
  7. Prince az

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

    Mkiwa nyumban kagera msiliangushe Taifa Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
  8. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
  9. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
  10. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba
  11. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Angalia
  12. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba nguvu moja
  13. Prince az

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Uongozi wa Simba angalieni sana Yanga wanacheza nje ya uwanja sasa jipangeni sana maana wenzen wanacheza sana nje sasa mkizembea itakuwa kila siku tunasema wachezaji wabovu kumbe wenzenu wanacheza nje Ili eneo liangalieni sana wenzenu hawaoni aibu kufanya ushirikina sasa kazi kwenu
  14. Prince az

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

    Umeongea point kabisa awa jamaa ni wajanja kumbe wako kimasirahi binafsi ndomana hawatak kujiudhuru Lengo lao ni kutaka kuivuluga timu ,mimi naamin hawa watu nyuma yao kuna kikundi kinawasapoti sio bure, Haiwezekan wawe na ujasiri mbele ya mtu alie kuteua afu uje ugomee maamuzi yake
Back
Top Bottom