Recent content by Prince Astra

  1. P

    Maxence Melo ashinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Embassy Tulip Award 2026

    Hongera sana Maxence Melo kwa kutunukiwa tuzo hii kubwa ya kimataifa. Ni heshima kwa Tanzania na ushahidi wa mchango wa teknolojia katika kulinda haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na uwajibikaji. Kazi yako inaendelea kuwa hamasa kwa kizazi cha sasa cha wabunifu na vijana wa teknolojia...
  2. P

    Nimejenga AI Platform inayowawezesha vijana kutengeneza mifumo ya kidijitali bila Programming. Nahitaji Ushauri

    Nimejenga AI Platform inayoweza kuwasaidia vijana wa Afrika kutengeneza mifumo ya kidijitali bila kujua Programming – Nahitaji ushauri wenu kabla ya uzinduzi Habari wanajamii wenzangu, Natumaini wote mnaendelea vizuri. Mimi ni mmoja wa wanajamii hapa JamiiForums, na kwa muda nimekuwa...
Back
Top Bottom