watu wana akili kidogo kweli sasa ccm imeingiaje hapo tatizo watu wa chadema mnakaririshwa kila kitu kinafanywa na serikali hamna akili za kufikiria wenyewe so mlitaka ccm ilipe hilo deni kwani kwenye mikataba ya hio mikopo ccm imetajwa tumieni akili ndo maana wazungu wengi wanaamini wtanzania...
hio sio kesi ya nchi hio ni moja kati ya sheria nyeti za jeshi kama umevaa hujakamatwa usijione mjanja wako wenzenu walovaa wakafanyishwa vitu hawatasahau diamond yaweza kua si kwa sababu ya umaarufu wake ila kwa kuvaa nguo ya jeshi na kuifanyia shoo kwa walipita jeshini wanaelewa sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.