Nilipata ajali iliyosababisha kuonekana katika CT scan inaonyesha zygomatic fracture.
Tiba nazoambiwa na madaktari ni surgery lakini hospitali ya kwanza walisema mfupa utaunga wenyewe. Naomba ushauri kama kuna dawa maana jicho linaonekana limeingia ndani na pia shavu limevimba
Nilikunywa antibiotics sizikumbuki ila maji mengi sana pia yalinisaidia na pia ilikuwa hainekani tatizo ni nini nikaanza kunywa bia mkojo ukawa unatoka mweupe basi ikaishia hapo. Na pia Muhimu kumuomba Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.