Recent content by Prime Dynamics

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

    Kwenye mkutano wenyewe Gwajima alikuwa ana soma notes alizo nakili kutokana kitabu cha Halima cha utekelezaji. Gwajima hakuna kitu pale.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Anaebishana na mandishi hana tofauti na kichwa cha mwenda wazimu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

    Je mkuu wa tume ya uchaguzi kuteuliwa na Mungu anakuona. Ramadhan Kareem.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

    Tuweke pembeni ushabiki. Je tume ya uchaguzi kuto hojiwa baada ya kutangaza matokeo ya urais kwako unaona ni sawa? Hicho kipengele unakionaje?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

    Lakini wanaweka mgombea urais kwa katiba ipi? Kwa non makosa yanarudiwa kilawakati? Ebu fikiria tume ya uchaguzi hai hojiwi na mkyu wa tume hiyo hiyo anateuliwa ma rais. Akisha tanhaza matokea ya urais hakuna kupinga. Sasa baado tu hilo kosa upinzani w hawalioni? Hakuna haja ya kuweka mgombea...
  6. P

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni na Kagame, heko!

    Waganda wakiona hii comment yako wakushambulia hatari. Fika Kampala ndio ujione yaliyomo. Visa vya askari kuua watu hovyo ni zaidi kuliko inavyo dhaniwa na Coronavirus.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Mshukiwa ni mtu asie julikana
  8. P

    JamiiForums Tanzania As Tanzania’s Magufuli attempts to fool the world, his secretary-general spills the beans

    Can you please share with us what you understood from his words? That could sound better.
  9. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Mkuu uko sahihi kabisa. Lakini akienda mahakamani je anayo barua ya kufukuzwa au it was done verbally kwenye vyombo vya habari? Kwa vile baado kadi ya uwanachama wa CCM anayo baado ni mtoto wa nyoka tu. Unajua CCM wako smart sana kumvuruga mtu akili wakiona ni hatari kwao. Ndio maana mm nadhani...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    For sure kwa upande wangu, kila nae msikia na kuona kuwa anataka urais kabla katiba ile ile, ni mwizi tu pia. Mimi nasema kama kweli CCM wanajiamini kuwa wao ni safi, katiba mpya iwekwe mezani halafu watizame vijana amabao wanajitambua watakavyo ibuka na mambo ambayo hawajawahi kusikia wala...
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Mkuu, Membe agombee urais kwa msingi wa katiba ipi? Akiwa bungeni alishindwa kusimamia mabadiliko ya katiba sasa leo anataka urais. Kwa ufupi asiweweseke atulie hapo hapo alipo. Kafukuzwa uwanachama sawa, je card yake ya uwanachama vipi? Anairudisha au inakuwa deleted from data base ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wakudadavuwa, Kama kweli CCM wanajiamini, waruhusu katiba mpya, ili tume ya uchaguzi na mahakama vile huru. Halafu wanaume waingie uwanjani (uchaguzi). CCM lazima itapukutika (au kupotea) itakuwa kama KANU ya Kenya. Ila kwa sasa haki wanayo, lakini yana mwisho. Hili nalo litapita.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Safi sana mkuu. Inamaana mwenyekiti wa Tume, Wakurugenzi wa halmaqshauri na wengine ambao wanahusika kwenye uchaguzi wote hawa boss wao ni rais. Itawezekana vipi wawe against boss wao??? Lakini pia mimi naona wanasiasa wote either ni wavivu wa kusoma yalioandikwa au wapo kwenye eating pyramid...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Moshi: Vifo vya Watanzania 20 madhabahuni, RPC Salum Hamduni anahusika. Akamatwe!

    Wanasema "Every thing is fine, if nothing is wrong"
  15. P

    JamiiForums Tanzania RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

    Zitto akishinda lazima tume ya uchaguzi itamtangaza mgombea wa CCM halafu watasema "tume ya uchaguzi haihojiwi". Mtihani!!!
Back
Top Bottom