Recent content by Pride Tanzania

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania John Mrema kuunguruma tarehe 25 January

    Huyu aligombea ubunge 2010 vunjo kupitia Chadema na kushindwa na hayati Agustino lyatonga Mrema, hivyo Mh.Freeman Mbowe akamwajiri Makao makuu kama Mkurugenzi wa masuala ya bunge maanak alikuwa ndo kamaliza chuo ajira Hana ila Mbowe alimwona ni asset huko mbeleni...! 2015 alikuwa ndio kama...
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
Back
Top Bottom