Recent content by Prettinho

  1. P

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ina siku ngapi?

    Siku5 au saba
  2. P

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ina siku ngapi?

    Tanx alot bt pia ntaka kujua kuhusu hlo,,, inakuwa uhakika mtoto wa kike au ni mipango ya mungu tu,,,,
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Mimba Kiboko

    Alikuwa na matatizo ya kutoona cku nzake,,,,,,
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Mimba Kiboko

    yupo mzumbe Morô
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Mimba Kiboko

    mmh,,,, asanteni kwa ushauri wenu,,,, bt cyo mieh,,,, nicngeogopa kujitaja,,,,, bt kutoa mimba kashakataa,,,, atailea tu,,,,,,
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Mimba Kiboko

    my frnd bhana,,,, alimpenda sana dat guy,,,, na mvulana pia alikuwa hasikii chochote kwa mwanamke,, sa cjui kakumbwa na shetani gani? au ndo mimba changa na yeye,,,,
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Mimba Kiboko

    Jamani nafsi inaniuma kila siku kwa yanayomkumba rafiki yangu, zamani baby nyingi, mwanaume anamtungia mwanamke uongo aende akalale kwake. Kinga hataki eti me siwezi kutumia kinga kwako leo kapata mimba hata salamu hapewi mwanaume matusi kutwa kisa kaombwa pesa ya hosptali, rafiki yangu...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    Amin inshaallah,,,,,,
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    Hahahaha umejuaje anapenda bby gal,,,, anahisi atakuwa faraja yake,,,,,,,,
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    Asante nashukuru kwa ushauri wako,,,,
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    Asante kwa ushauri wako mzuri,,,,, nitamweleza hvyo,,,,,,
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    haimsumbui na anasoma vizuri,,,,, me nimemshauri alee tu atakuja kujutia,,,, vizazi tbu siku hizi,,,,
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia panda

    Jamanery naombeni ushauri,,, nimsaidie huyu rafiki yangu,,,,, ni mjamzito na yuko chuo mwaka wa kwanza,,,,, mwanzni alitaka kuitoa,, mwenza wake akakataa,,,, yeye sababu nzake ni anahôfia kwao na masomo pia,,,, bt mwenza wake alivyokataa alisema sawa kwasababu anajua madhara ya kutoa mimba...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ina siku ngapi?

    Amepima kaambiwa mjamzito bt haujulikani una siku ngapi? bt kumbukumbu zake siku ya mwisho kukutana na mwenza wake ni trhe 5october,,,,, anahisi ndo siku umeingia,,,,,
  15. P

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ina siku ngapi?

    jamani,,,, naombeni kujua huu ujauzito utakuwa una siku ngapi? amemaliza period yke 30sept na amekutana na mwenza wake 5octber ,, baada ya hpo wiki mbili ndo akaanza kuona dalili,,,,,,
Back
Top Bottom