kusema kla m2 anamtambua km bilionea kijana c sahh kwan ht mm cmtambui hvo kwan hua samn et kwakua fulan kasema! nadhn ni muda muafaka kwa kuish na facts n c hear say! do not believe until u prove!
km kla anaetishiwa maisha serikali impe ulinz cdhn km serikal itaweza cz ht ss idad ya polis haitoshelez mahitaj, kwa m2 km yeye na nguvu ya pesa nadhn anaweza kujilinda...by de way y always him?!
km hufaham khs biashara ni vema kunyamaza, aliekuambia biashara lazma utoe cash uliyonayo ni nan? uwekezaj wwte mkubwa huwez toa pesa zk cash bal unakopa bank , ht Bill Gates hua anakopa bank japo ana utajr wa dolla bil 76 so ht wawekezaj wazawa waweza kukopa il wawekeze!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.