Recent content by Preba de fisica

  1. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ushuhuda mwingine huu
  2. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Upo sahihi...wengi wenu humu wanaamini auto accept ni kigezo Cha kukosa ,kitu ambacho c kweli
  3. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Na ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
  4. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Imeshakua REJECTED hata ukipata ufafanuzi sidhani kama inasaidia
  5. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ushuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
  6. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sifahamu,, lakini tuwe na subra tuu Ninachoamini nikwamba ombi lako kama limefika UTUMISHI kupitia module ya vacancy request basi una asilimia zaidi ya 80 ya kupata nafasi kwasababu kazi kuu ya ofisi ya katibu mkuu Utumishi ni kuidhinisha Kibali tuu, izo 20% za kukosa ni ama labda uwe umeomba...
  7. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hakuna jambo ambalo Huwa linakosa deadline, kwahyo ,, inawezekana changamoto mnazo zimention saivi nikwasababu tarehe ya mwisho ya kuomba nafasi izo imepitia, Na maombi yalifika ndani ya muda yapo yanafanyiwa kazi, ili watakaobahatika waende wakazibe nafasi izo zilizokuwa wazi.
  8. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Inakataa,, ndo mana wengine huona Ile status THE VACANCY ALREADY FILLED au ,,mfumo utakua wazi kupokea maombi mengine mpaka ombi lako liwe rejected na KM UTUMISHI au TAMISEMI
  9. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Vibali ni kuanzia tarehe 26 mpka tarehe 3, ikipita hapo ukakosa ,,subiri Tena tarehe tajwa hizo kwa mwezi unaofata
  10. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Bajeti ipo kwa daraja ilo la juu Yako tu ndo mana we ukiomba unakutana na not budgeted. Hata ukiomba nikazi Bure , itakugomea mbeleni na hata kibali huta pata,, tafuta nafasi ingine.
  11. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ombi lina muda gani tangu lifike utumishi ?
  12. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    We subiri tuu, ikipita siku tatu itajipitisha yenyewe, hata kama hajaona
Back
Top Bottom