Recent content by praytz

  1. praytz

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inafaa eneo ambalo lina Bar nyingi?

    Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi? Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
Back
Top Bottom