Biashara gani inafaa eneo ambalo lina Bar nyingi?

praytz

New Member
Oct 2, 2020
1
0
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi?

Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
 
Bites za aina zote na fresh juice za ukwaju na miwa
 
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi?

Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
Mtaji mdogo ndio kiasi gani
 
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi?

Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
Uza pombe pombe izi kali za bei rahisi, k vant vodka konyagi, sigara Vocha
 
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi?

Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
Perfumes,urembo wa magari,polish,shoe shine,Karanga,Pipi etc
 
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi?

Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa muda tu (part time) especially weekend and evenings.
Uza kongoro
 
Wee uwezi fanya biasha yoyote kwa jinsi nafsi yako ilivyo tight ingekuta Ni full time bas ungedeal na itimoto na tigo ma mapesaa Kama yote
 
Back
Top Bottom