Recent content by Prayers Save

  1. Prayers Save

    JamiiForums Tanzania Aliyezuia huyu kijana kuokoa Marubani akamatwe

    Hapo unatoa maelezo yako lakini manusura wanasema maji yalikuwa yamejaa na walikuwa juu ya viti mpaka mlango unafunguliwa. Alafu isingezama man's ilikuwa tayari isha gusa tope chini na ndiomana hatakuivuta imekua ngumu mana imeng'ang'ania chini.
  2. Prayers Save

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Kwavile uwezowako wakufikiri umeishia hapo hata ukifundishwa huwezi ukaelewa mana unajifunza kwa lengo la kumkataa Mungu. Ukisoma maandiko kwautakavyo wewe yatakupeleka hukohuko unakotaka ila ukitaka uongozwe na uweza was Mungu utafahamu. Hakuna point hata moja hapo kwa mtu anaetumia tu akili...
Back
Top Bottom