Ni upumbavu wa Zama za kale kwa mvamizi wa nchi ya watu kuanza kuita wenye nchi Yao magaidi.
Ni aibu kwa huyu Putin na wafuasi wake............
Hii dunia ya kupora maeneo ya watu ilishapita....hakuna anayeweza kukubali....aendelee then aone kama ataachwa....
Ushindi dhidi ya fashist Put in...ni dhuluma kwa dunia na uhuru kwa kila taiga.....ushindi dhidi ya Ukraine ni haki ya ukweli ambayo dunia inapaswa kuilinda
Ni kama alifikiri kuwa eti atachukua sehem yoote hadi Dsm...kuanzia Bukoba alianza hizi mbwembwe ATI anao huo uwezo ambao Leo hii anafikiri Hivyo Putin...Ila muda ulimuishia and everything came to the end....... Hitler pia alipitia njia hii ya Putin.....yaliyomkuta nadhani unajua hakuna hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.