Tukipata raisi mwenye sifa zifuatazo basi nchi itakwenda kasi ktk maendeleo:
Kuilinda katiba ya nchi.
Utashi wa uongozi maan uongozi ni tunu/kipaji.
Mwenye Hofu na Mungu/Allah.
Mwenye kujali maslahi ya nchi na c chama chake.
Mwenye kusubutu kutoa maamuzi magumu bila kujali urafiki au itikadi...
Elimu ya uraia ndo kitu muhimu ambacho watanzania wengi wanataka. kuna watu kama hawa:-
Kufikiri unajua kumbe ujui kabisa.
kufikiri ujui kumbe unajua.
kufikiri unajua kumbe unajua kinyume.
kuna watu wanajua for realy.
Hivyo watu kama Lissu ndo wanatakiwa kufumbua macho watanzania, ambao wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.