Recent content by Poulsen wagine

  1. P

    Hivi Unaanzaje kuniambia nikafundishe Primary School ilihali siko Tayari?

    Hakuna ajira mwaka huu hata hao ambao sio waziada wapo tuu home jiongeze fanya kitu kingine achana na Jaffo
  2. P

    Ajira za watumishi 2016/2017

    Tatizo sio ajira Tatizo mambo hayaeleweki Mara bughet Mara database mara ziada ya walimu Mara ukaguzi Mara walimu arts kuamishiwa msingi huu ni uongo Jaffo sisi sio watoto kakae chini tunataka majibu yenye mashiko
  3. P

    BUNGENI DODOMA: Majibu ya Jaffo kwa walimu wa Arts na Sayansi

    Hivi hawa wabunge mbona wanachezea hela za Umma eti jibu swali moja kati ya hilo maswali ya Msingi Kama hayo unajibu swali moja halafu unajibu pumba yaani mtu mwenye shahada aliysoma imperialism akafundishe ubeberu uliokamaa hataweza kweli kuyatafsiri kwa Kiswahili ndugu zangu hakuna ajira huu...
  4. P

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Naomba kujua wadau Walimu wa Arts hawataajiriwa mwaka huu maana sisi wa vijijini tunapata habari mbaya tu na je kuna ukweli wowote
Back
Top Bottom