Recent content by poul

  1. poul

    Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino

    (1) Kabla kununua simu ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa imei(international mobile equipment identity) zitaonekana. hizi namba ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba 35. kinyume na hapo hiyo feki... na km umepiga hiyo namba na imei hazijaonekana, hiyo pia feki tena aliyefekisha ni...
  2. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    ndomana nikasema ruksa kuedit, nikimaanisha kuongeza na kurekebisha... ila uwa ni 06 or 60 km cjakosea
  3. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    ndomana nikasema ruksa kuedit, nikimaanisha kuongeza na kurekebisha... ila uwa ni 06 or 60 km cjakosea
  4. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    km wewe unatumia internet kudownload video za ngono na kuchat, si wote wanafanya ivyo, wengine tunatumia kujifunza mambo ya kiteknolojia..
  5. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    nimekuelewa unachotaka kujua... km iyo brand ya hauwei iko china haimaanishi dunia nzima ndo inategemea huko...kuna viwanda vya kuzalisha hiyo simu nchi mbali mbali. yako imezalishwa finland. ndomana nikasema ikiwa 00 imetengenezwa kwny original factory..labda niseme kiwanda mama.. inamaana uko...
  6. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    kuhusu simu za kichina, hizo namba nilizotaja ni kwa zile ambazo ni original na zenye quality na zinatengenezwa na brand zenye majina yanayotambulika kimataifa km tecno, hauwei, x ting etc..mi nazungumzia quality sio ufeki na uoriginal.. nikisema bad quality sio kwamba ni feki bali ni jst bad...
  7. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    ziko chini ukiitoa betri pembeni ya sehemu ya kuwekea line au piga, nyota alama ya reli 06 alama ya reli. utaziona
  8. poul

    jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    angalia namba zako za imei, zitakuwa 15 au 17. hesabu mpaka namba ya 7 na ya 8. km ni 02 au 20...simu yako imetengenezwa emirates- very poor quality. km ni 08 au 80... germany-fair quality km 01 au 10...finland- high quality km 00 - imetengenezwa kwny original factory - best quality. km 03 or...
  9. poul

    TECNO Q1(Android)

    hiyo n3 spidi yake ya net ikoje? na spidi ya kuprocess data vipi...
  10. poul

    Cookies na Caches ni vitu gani kwenye Internet

    km umeifuta huwezi ipata
  11. poul

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    kitunguu swaumu ndo dawa mtu wangu...na vile vile kinaongeza libido (hamu ya ngono), hakina masharti we kile tu kikavu au kwenye mboga.. hii ndo dawa isiyo na madhara bali faida nyingi tu na inasaidia mambo ya msukumo wa damu...inafaa sana kwa mzinzi km wewe
  12. poul

    Cookies na Caches ni vitu gani kwenye Internet

    C6 sio kwamba hivi vi cookies ndo vinatumiwa kubeba virus kuleta kwenye vifaa vyetu
  13. poul

    Cookies na Caches ni vitu gani kwenye Internet

    asante sana, kumbe ni vitu vidogo vidogo sana..ambavyo hatuvijui wengi
  14. poul

    msaada: wataalam wa graphic designing

    mtafute jamaa humu anaitwa javascript atakuelewesha mambo ya software zinazohusika, pili fata ushauri wa chief mkwawa, tatu anza kutumia ms publisher kwanza kufanyia mazoezi kwa kuiga matangazo ya watu wengine kabla ujaanza kutumia software zinazohusika zaidi, ili ujue technique wanazotumia, huo...
  15. poul

    Cookies na Caches ni vitu gani kwenye Internet

    Mi sijuagi maskini
Back
Top Bottom