Recent content by pot11

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    Tatizo hilo na mwanangu alikuanalo now ana mwezi mawili niwakiume .nlimpeleka kwa docta hamiri akanishauri kwanza tusiwape watoto dawa kwaajili ya kunya mbaya.. Hivyo kwa kawaida mtoto Anatakiwa anye kwa wiki mara moja atakapo fika umri wamiezi mitatu iyo hali iyabadirika.. Unachotakiwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkuu me naona mbezi kuna tatizo kubwa sio bure maana me nawapigia simu wk sasa kila siku naambiwa mafundi wanakuja inaingia wk ya pili sasa kwangu nipo kwenye giza
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo kimara goroni mtaa wa amani namba yangu ya mita 24213873839 leo ni siku ya tatu kila ikifika saa moja ya usiku nyumba yangu tu ndio umeme unakatika,utarudi tena saa mbili nilikuwa naomba kujua tatizo nini?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Siku hizi tanesco mnajitaji sana maana tatizo lakukatika katika umeme limepungua sana ,endeleeni hivyo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Sawa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu naomba uniweke katika list
  8. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu asante sana kwa kutufumbua macho kwa ili
Back
Top Bottom