donlucchese,
Hivi zile jamii za Wadzabe na Wantindiga, binadamu kama sisi wanaoishi porini na wana mahusiano ya kimapenzi kama tulivyo sisi na hawaijui pesa unadhani, mahusiano yao yana ubora ama ubaya upi tofauti na sisi watumiaji wa pesa???
Kumekuwa na video ya huyu ndugu asiyefahamika jina akigala gala, binafsi nimempa jina la 'Mwana kambale' akionekana anamlilia Hamida kwa kumuacha ni dhahiri walikuwa ktk mahusiano ya kimapenzi.
Ijapokuwa hatumfahamu Hamida kwa sura ama huyo 'Mwana Kambale' kwa jina halisi ama hatuna maelezo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.