Recent content by positiveatittude

  1. P

    Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Acha upumbavu/ujinga Kwamba baba wa watoto a/wa-mekufa au ulibakwa ndio ukapata hao watoto mapacha watatu au wamekataliwa na baba zao. Huwezi ukamilikisha damu ya mtu kwa watu wengine ovyoovyo tu hata kama baba yao amekufa. Maana hata ukisema baba zao wamewakataa itakua ni ajabu watoto watatu...
  2. P

    SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
Back
Top Bottom