Recent content by Positive maindset

  1. P

    Mkopo wa haraka unahitajika ili kukamilishaoda za wateja.

    Ushauri wangu ungeenda kwenye watoa mikopo wadogo wadogo sasa hivi wamefungua Vijiofisi vingi hapo mtaani kwako ungefanikiwa Zaid kuliko mm nilieko morogoro huku Niko mbali other wise kama uko Moro ntakusaidia
  2. P

    Biashara ya chips Morogoro Mjini

    ASante boss npo najitolea hk dar but nataka nijue SEHEM ilio changamka kwa Moro kama wew ni mwenyeji nielekeze pia nipe changamoto za hii BIASHARA
  3. P

    Biashara ya chips Morogoro Mjini

    Santee mkuu wew ni mwenyeji wa huko unisaidie kunielekeza maeneo?
  4. P

    Biashara ya chips Morogoro Mjini

    Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Back
Top Bottom