Recent content by Popo Farm

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Acha upotoshaji wewe. Sasa tushajenga nenda kawaambie Mabeberu tena
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Huo mradi kwa taarifa yako utawasaidia sana hata hao wanyama waishiyo hapo. Kutajengwa bwawa kubwa ambalo maji hayatakuwa yanaisha na ule uhaba wa maji kwa wanyama kipindi Cha kiangazi kikali utakuwa haupo.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Tatizo wabongo wengi mnadandia Mambo kwa miheuko. Wakati dunia inaubwa sehemu kubwa ya makazi yetu yalikuwa ni misitu waishiyo wanyama. Hao uko majuu washamaliza mapori yote, wanaongoza kwa air pollution. Wamefyeka misitu kikubwa ili waweke makazi ya watu. Leo hii sisi kufanya hili la...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Acha kupotosha watu wewe. Uharibifu gani wa mazingira uliofanywa pale. Kemea hao ndugu zako wanaokata magogo hapo kijijini kwako kwa kuchoma mkaaa. Kwa kifupi hakuna best project anayoifanya Magu Kama hiyo. Kati ya zote hiyo kwangu it's number one
  5. P

    JamiiForums Tanzania Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Return Of Undertaker, Ticha nakuonea huruma. Umejaribu kufiksha message lakin mmmh hayaa
  6. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Yangu tayari
Back
Top Bottom