Habari ndugu!! Nimeota naendesha gari nimempa lift mke wa jirani yangu mara ikatupita gari ndogo salon nyuma wamejificha wahuni wakatusimamisha na kuanza kutupiga wakitaka tuwepe fedha
Pole kwa majukumu naomba unitafsirie ndoto hii. Niliota naelekezwa na bint yangu sehemu nikafukue hela nilipomwambia cpajui mahali hpo akanifanyia mazingaombwe flani nikapafahamu nikaenda kufukua nikakuta noti za zamani na US dollars... Hii inamaanisha nn plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine niliota nachungulia kisima kirefu balaaa mpk nikawa naogopa kuchungulia nikiwa nimesimama ikabidi nilale ndio nichungulie ht hvyo ckuona mwisho wake ila akatokea binamu yangu akaniambia niache woga akaanza kuingia kisimani huku mm nikimuonya aache kufanya hvyo!! Hii maana yake nn
Sent...
Nashukuru kwa ufafanuzi!! Kuna cku niliota boss wangu ananikimbiza nikamzidi mbio nikakata vichochoro nikampoteza
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Nyingine niliota napandisha mlima upo km ukuta japo nilipanda kwa shida ila nilipofika juu nilikuwa ghorofani kuna wazungu na mataifa mengine wanakula maisha na mm nikaungana nao japo ckula vyakula vyao ht vinywaji
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Nimeota nasaini mafaili ili nile kiapo mbele ya Rais ila kabla cjaapa akaniuliza mbona kazi niliyokupa hujamaliza nikamjibu kuwa ckuwepo oficn hvyo akaondoka na kupanda gari. Je hii tafsiri yake ni nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.